Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senegal waweka rekodi CAF

SENEGALEESE Kikosi cha Senegal kilichoshinda michuano ya CHAN

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya wenyeji Algeria kwenye michuano ya Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2022, SENEGAL sasa imekuwa Taifa la kwanza kutwaa makombe matatu ya CAF.

Kombe la Mataifa Afrika AFCON2022.

Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2022.

Kombe la Mataifa Afrika kwa Soka la Ufukweni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live