Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Senegal waichapa Brazil, waweka rekodi Afrika

Sadio Mane Action Brazil Vs Senegal Senegal waichapa Brazil

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Bayern Munich Sadio Mane amefunga magoli mawili na kuisaidia Senegal kupata ushinda wa mabao 4-2 dhidi ya Brazil katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo katika dimba la Jose Alvalade, Lisbon Ureno.

Nyota wa Bayern Munich Sadio Mane amefunga magoli mawili na kuisaidia Senegal kupata ushinda wa mabao 4-2 dhidi ya Brazil katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo katika dimba la Jose Alvalade, Lisbon Ureno. Baada ya ushindi huo, Senegal imeweka rekodi ya kuwa Taifa la tatu la Afrika baada ya Cameroon na Morocco kuwahi kuifunga Brazil.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live