Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sebo asaini Miaka miwili Azam FC

IMG 4493.jpeg Abdallah Kheri ‘Sebo’

Thu, 29 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa katí, anayeweza kucheza pembeni pia, Mzanzibari Abdallah Kheri ‘Sebo’ ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Azam FC hadi mwaka 2026.

Beki wa katí, anayeweza kucheza pembeni pia, Mzanzibari Abdallah Kheri ‘Sebo’ ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Azam FC hadi mwaka 2026. Azam kwa sasa wapo katika mpango wa kujenga kikosi chao na jambo kubwa ni kuhakikisha wanawalinda nyota wao kwa kuhakikisha wanawaongezea Mikataba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live