Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Scout wa Manchester atua Ureno kucheki kipaji hiki

Joao Neves Jõao Neves

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Scout wa Manchester United alihudhuria Derby ya pale Ureno kati ya Benfica na Sporting CP kutazama kipaji cha dogo Jõao Neves aliyezaliwa 2004 anayecheza nafasi ya kiungo wa kati,

Scout wa Manchester United alihudhuria Derby ya pale Ureno kati ya Benfica na Sporting CP kutazama kipaji cha dogo Jõao Neves aliyezaliwa 2004 anayecheza nafasi ya kiungo wa kati, Wataalamu hao ambao watatuma ripoti yao kwa John Murtoh huku pia wakisubiria mabadiliko ya bodi ya klabu hiyo kwaajili ya maendeleo na mipango ya baadae ya Manchester United ili dili hilo lifanyike.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live