Baada ya Scotland kuitandika Hispania na kuvunja mwiko wa kutopata ushindi kwa takribani miaka 39 mbele ya Hispania.
Kiungo wa Scotland, Scott McTominay dhidi ya Uhispania alikuwa na takwimu bora kama unavyoona;
Dakika alizocheza 90
Mabao 2
Kugusa mpira 28
Pasi sahihi 12
Mashuti yaliyolenga goli 2
Clearances 2
Tackles 1
Mipira ya kugombania aliyoshinda 3
Mchezaji wa kwanza wa Scotland kufunga mabao mawili dhidi ya Uhispania tangu Mo Johnston katika mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia November 1984.
Mchezaji wa kwanza kufunga angalau mabao mawili dhidi ya Uhispania katika mechi za kuwania kufuzu kwa kombe la dunia au Euro tangu 2006 wakati David Healy wa Ireland Kaskazini alipofunga hat trick.
Kwa mara ya Kwanza katika career yake amefunga katika mechi mbili mfululizo akiwa na timu ya taifa ya Scotland.
Takwimu zake tangu alipoanza kuichezea Scotland
Michezo 39
Dakika alizocheza 2883
Mabao 5
Pasi za mabao 2
Mabao 4 (kuwania kufuzu kwa Euro) Bao 1 (kuwania kufuzu kwa kombe la dunia)