Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Scholes: Jude ni bora kuliko wote wa umri wake

Scholes X Jude Scholes: Jude ni bora kuliko wote wa umri wake

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amemsifu Jude akisema kwa umri wake, yeye ndiye mchezaji bora kwa sasa na hata waliotangulia

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes amemsifu Jude akisema kwa umri wake, yeye ndiye mchezaji bora kwa sasa na hata waliotangulia “Nadhani Jude Bellingham kwa umri wake na kile anachofanya hadi sasa katika kazi yake ,ni bora kuliko kitu chochote ambacho tumewahi kuona."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live