Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Schalke yang'oa nembo ya Mdhamini kisa Uvamizi wa Urusi

Schalke 04 Schalke yang'oa nembo ya Mdhamini kisa Uvamizi wa Urusi

Thu, 24 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Schalke 04 inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundasliga)imethibitisha kuondoa nembo ya mdhamini wao GAZPROM, kwenye jezi za timu hiyo kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine.

Klabu ya Schalke 04 inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundasliga)imethibitisha kuondoa nembo ya mdhamini wao GAZPROM, kwenye jezi za timu hiyo kutokana na uvamizi uliofanywa Ukraine. Nembo hiyo ambayo ni ya kampuni ya nishati ya Urusi itabadilishwa na neno "Schalke 04." mbele ya jezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: