Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sare sawa ila Simba ni habari nyingine

Simba Kikosi Kwenda Misri Sare sawa ila Simba ni habari nyingine

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yote tisa, Kumi huwezi kuwazuia Simba kutengeneza nafasi kwa sasa. Wawe vyovyote vile, Mechi 27 mfululizo za ligi kuu wamefunga.

Hii inatokana na uwezo binafsi na akili kubwa ya mpira ya wachezaji wao. Kiufundi wachezaji wa timu zote walikuwa vizuri hasa kwenye kuulinda mpira na ndio maana timu zikishambuliana lazima kitimu muchimbe kujihami lakini Simba wakija langoni kwako Always wana nafasi, Always!

Kwa Timu zinazoruhusu mabao kwa Simba sio kama wanafanya uzeme ni namna ambavyo imekuwa na matumizi mazuri ya kutengeneza nafasi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live