Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Santi Cazorla arejea Real Oviedo

Santi Cazorla Santi Cazorla.

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Santi Cazorla amejiunga na klabu ya Real Oviedo inayoshiriki Ligi daraja la pili Uhispania, Laliga 2.

Cazorla (38) raia wa Uhispania anarejea klabuni hapo ikiwa ni miaka 20 tangu aondoke huku akikubali kupokea mshahara kiduchu uliopangwa na klabu hiyo.

Real Oviedo pia itanufaika na asilimia 10 ya mauzo ya jezi za nyota huyo wa zamani wa Villarreal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: