Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sankara Karamoko kuja Bongo ngumu, safari ya Ulaya yanukia

Sankara Karamoko Yanga.jpeg Sankara Karamoko

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ilikuwa 70% basi ni 10% tu zimebaki kwa timu za Tanzania kuweza kumshawishi Sankara Karamoko (21) kuja Tanzania,

Taarifa za uhakika ni kuwa, Ofa 4 tayari zipo mezani, ni vilabu kutoka Ulaya, Sasa hivi Vilabu hivyo vinapigana vikumbo kuipata saini yake,

Klabu ya SK Sturm Graz ya Austria na ndio inaongoza mbio hizo, huku pia vilabu vya RB-Leipzig,Atalanta Bargamesca Calcio, pamoja Real Sociedad San Sebastien vyote Vikionyesha nia ya kumsajili kinda huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: