Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sanga: Robo Fainali CAF fitna zina nafasi kubwa - VIDEO

FESTO SANGA.png Sanga: Robo Fainali CAF fitna zina nafasi kubwa

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Bunge Sports Club and Promotion na Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema kuna haja ya kuwa na mikakati ya nje ya uwanja kwa klabu za Simba na Yanga ili kuibuka na ushindi kwenye mechi za mkondo wa pili za Ligi ya Mabingwa Afrika.

Sanga ameyasema hayo leo Jumanne, Aprili 2, 2024 wakati akizungumza na Mwananchi baada kikao cha kwanza cha mkutano wa 15 wa Bunge la 12 unaoendelea jijini Dodoma ambapo amewataka viongozi wa timu hizo kuungana ili kuhakikisha timu hizo zinapata ushindi kwenye michezo ya marudiano.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live