Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sandaland kutengeneza jezi za Taifa Stars

Sandaland Stars.jpeg Sandaland kutengeneza jezi za Taifa Stars

Tue, 12 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF), jana Septemba 11,2023, limeingia mkataba wa udhamini wa kutengeneza na kusambaza vifaa vyote vya timu za Taifa zikiwemo jezi za Taifa Stars, timu za vijana, soka la ufukweni na timu za Wanawake na Kampuni ya Sandaland Only One.

Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF), jana Septemba 11,2023, limeingia mkataba wa udhamini wa kutengeneza na kusambaza vifaa vyote vya timu za Taifa zikiwemo jezi za Taifa Stars, timu za vijana, soka la ufukweni na timu za Wanawake na Kampuni ya Sandaland Only One. Mkataba huo uliosainiwa leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam, ni wa miaka mitano na una thamani ya Bilioni 3 za Kitanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live