Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho aweka rekodi hii Nusu Fainali UEFA

FYTDYTDDTRDRD Jadon Sancho

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Dortmund, Jadon Sancho, juzi alifanya dribo 12 dhidi ya PSG, akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufanya hivyo mara nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali baada ya Lionel Messi (16) ambaye aliwanyanyasa Manchester United Aprili 2008.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live