Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho atolewa chambo Man United

Sancho X Raphinha Sancho atolewa chambo Man United

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Diario SPORT Klabu ya Manchester United wanataka kubadilishana Jadon Sancho na Raphinha katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo.

Sancho amewekwa nje ya kikosi cha Man United kwa muda mrefu baada ya kutokea sintofahamu kati yake na Kocha Erik Ten Hag na kugoma kuomba radhi

Hapa Mnasemaje wapenzi wa Man United, ni Big Yes/Big No?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live