Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho atengwa Man United

Skysports Jadon Sancho Erik Ten Hag Sancho atengwa Man United

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

ESPN imeripoti kutengwa kwa winga wa Manchester United Jadon Sancho taarifa ikisema kutengwa kwa nyota huyo kumekuja baada ya ile kauli lakini pia baadhi ya wachezaji wa Man Utd hawafurahishwi na tabia za Jadon Sancho kikosini.

Zipo taarifa za winga huyo kuhitaji kurudi Dortmund hata kwa mkopo ni ni baada ya kuona hana nafasi kwenye kikosi cha Ten Hag .

Sancho na Kocha haziivi ,Greenwood kwa mkopo Getafe ,Antony kazingua na yeye .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live