Thu, 19 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Jadon Sancho amerejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza cha Manchester United baada ya kua nje kwa takribani miezi Mitatu.
Sancho alikosa michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar hivyo, anapiga hatua chanya katika azma yake ya kurejesha utimamu wa mwili ili aje kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Manchester United.
Huu ni usajili mpya kwa kocha Ten Hag, Mashabiki wa United waendeee kujipakulia manyama tu.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live