Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho apigwa marufuku kula Kantini Man United

Sancho Returns To First Team Training Jadon Sancho

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Man United Jadon Sancho amepigwa marufuku kutumia kantini ya kikosi cha kwanza cha Manchester United na badala yake chakula chake analetewa kutoka nje ya Carington !

Mshambuliaji wa Man United Jadon Sancho amepigwa marufuku kutumia kantini ya kikosi cha kwanza cha Manchester United na badala yake chakula chake analetewa kutoka nje ya Carington ! Hii ni baada ya mchezaji huyo kuendeleza msimamo wake wa kugoma kuomba msamaha kwa kocha Ten Hag

Chanzo: www.tanzaniaweb.live