Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho aanza na zali Dortmund

Sancho Dortmund.jpeg Sancho aanza na zali Dortmund

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwa na wakati mgumu katika maisha yake ya ‘soka’ aliyekuwa winga wa Manchester United Jadon Sancho ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo #BorussiaDortmund ameanza kuonesha makali yake uwanjani.

Ambapo siku ya Jana ‘klabu’ yake ya Dortmund ilikuwa kibaruani ikicheza na Darmstadt Sancho alifanikiwa kutoa ‘asisti’ na kifanikisha timu yake kufunga bao la pili.

Mchezo huo ulitamatika kwa mabao 3_0 huku Dortmund ikiondoka na alama zote tatu, Sancho aliingia dakika ya 55 akichukuwa nafasi ya Jamie Bynoe-Gittens na kutoa asisti dakika ya 77.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live