Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho, Ten Hag nani ataanza kuondoka Man United?

Skysports Jadon Sancho Erik Ten Hag Sancho, Ten Hag nani ataanza kuondoka Man United?

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa namna ambavyo Manchester United inacheza na kupata matokeo, na namna ambavyo fundi wa kandanda Mholanzi Erik Ten Hag anaweka msimamo kwa mtoto wa nyumbani Jadon Sancho unadhani nani ataanza kuondoka?

Kwa namna ambavyo Manchester United inacheza na kupata matokeo, na namna ambavyo fundi wa kandanda Mholanzi Erik Ten Hag anaweka msimamo kwa mtoto wa nyumbani Jadon Sancho unadhani nani ataanza kuondoka? Man United imekuwa na mfululizo wa matokeo mabaya lakini baadhi ya nyota wake kama Jadon Sancho wamewekwa pembeni baada ya kutokea hali ya kutokuelewana na Kocha wake Erik Ten Hag.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live