Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho, Ten Hag mambo fresh, arejea mazoezini Man United

Sancho X Return Sancho, Ten Hag mambo fresh, arejea mazoezini Man United

Sat, 13 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Manchester United, Jadon Sancho amerejea klabuni hapo baada ya mkataba wake wa mkopo na vigogo wa Bundesliga, Borussia Dortmund kumalizika na tayari ameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2024/25 akiwa na Manchester United.

Winga wa Manchester United, Jadon Sancho amerejea klabuni hapo baada ya mkataba wake wa mkopo na vigogo wa Bundesliga, Borussia Dortmund kumalizika na tayari ameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2024/25 akiwa na Manchester United. Nyota huyo raia wa England ambaye awali zilikuwa haziivi na Meneja Eric Ten Hag sasa mambo ni shwari baada ya kukutana na kumaliza sintofahamu iliyokuwa katikati yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live