Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho: Sijui chochote kuhusu kurudi United, kwa sasa naipambania Dortmund

FYTDYTDDTRDRD Sancho: Sijui chochote kuhusu kurudi United, kwa sasa naipambania Dortmund

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mchezo mzuri ulionyesha Jadon Sancho kwenye nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Borussia Dortmund dhidi ya PSG maswali mengi kwenda kwa Sancho yalihoji juu ya hatma yake msimu ujao kama atasalia Dortmund au atarejea Manchester United.

Baada ya mchezo mzuri ulionyesha Jadon Sancho kwenye nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Borussia Dortmund dhidi ya PSG maswali mengi kwenda kwa Sancho yalihoji juu ya hatma yake msimu ujao kama atasalia Dortmund au atarejea Manchester United. “Kwa kweli sijui, kwasasa naangazia zaidi Dortmund nilikuja hapa nikiwa na miaka 17 kwahivyo klabu hii imenisaidia tangu siku ya kwanza, siku zote najitolea kwa uwezo wangu wote kwa ajili ya klabu na mashabiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live