Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho Mchezaji pekee Man United kutinga Fainali UEFA

Sancho Reach Final.jpeg Sancho Mchezaji pekee Man United kutinga Fainali UEFA

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Manchester United Jadon Sancho amekuwa mchezaji wa kwanza anaemilikiwa na klabu ya Manchester United kutinga fainali ya michuano ya UEFA Champions League tangu mwaka 2011 ambapo klabu hiyo ilifika fainali ya mashindano hayo licha ya kupoteza dhidi ya FC Barcelona.

Winga wa Manchester United Jadon Sancho amekuwa mchezaji wa kwanza anaemilikiwa na klabu ya Manchester United kutinga fainali ya michuano ya UEFA Champions League tangu mwaka 2011 ambapo klabu hiyo ilifika fainali ya mashindano hayo licha ya kupoteza dhidi ya FC Barcelona. Nje ya Sancho hakuna Mchezaji yoyote wa klabu hiyo ambae hata nusu fainali ya mashindano hayo alishawahi fika tangu kizazi Cha 2011 kilipopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live