Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sancho, Man United wafikia pabaya

Jadon Sancho X Ten Hag 333 Sancho, Man United wafikia pabaya

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kinachoendelea kati ya Jadon Sancho na Manchester United kwasasa kimefikia pabaya sana, ameamua ku"deactivate" ukurasa wake wa Instagram na hakuna picha inaonekana kwenye ukurasa wake.

Kinachoendelea kati ya Jadon Sancho na Manchester United kwasasa kimefikia pabaya sana, ameamua ku"deactivate" ukurasa wake wa Instagram na hakuna picha inaonekana kwenye ukurasa wake. Kinachotakiwa kwasasa ni Jadon akubali kuomba msamaha arudi kwenye kikosi au aondoke January.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live