Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sanamu laharibu mechi za Al Hilal, Al Ittihad Iran

Qasem Soleimani.jpeg Sanamu laharibu mechi za Al Hilal, Al Ittihad Iran

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa bara la Asia kati ya Al-Ittihad dhidi Sepahan nchini Iran umesitishwa kwasababu sanamu ya Jenerali wa Iran Qasem Soleimani (kamanda Mkuu wa kupambana na ugaidi) ilikuwa uwanjani.

FA ya Saudi imeamuru Al-Ittihad na Al-Hilal warejee nyumbani Saudi Arabia.

Al Ittihad tayari wamekwea pipa kurejea nchini kwao, huki Al Hilal ambao ilibidi wacheze mchezo wa Ligi hiyo siku ya kesho dhidi ya Nassaji Mazandaran nao wanatarajia kuanza safari ya kurejea kwao muda wowote kuanzia sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live