Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

San Marino yaomba kukipiga na vibonde Man United

GettyImages 2151222556 San Marino yaomba kukipiga na vibonde Man United

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya San Marino imeomba mchezo wa kirafiki na klabu ya Manchester United baada ya United kupokea kichapo cha goli 4-0 kutoka kwa Crystal Palace.

"Hello, chezeni na sisi tafadhali."

Kupitia ukurasa rasmi wa timu hiyo ya Taifa wameandika.

Ikumbukwe timu ya Taifa ya San Marino imeshinda mchezo mmoja pekee ndani ya miaka 20.

Hawa San Marino wameona nini kwa Manchester United

Chanzo: www.tanzaniaweb.live