Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

San Marino haijapata ushindi miaka 20

San Marino Ushindi San Marino haijapata ushindi miaka 20

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya San Marino jana ilicheza dhidi ya Saint kitta and Nevis na inakuwa sare ya kumi [10] kwenye historia yao.

Inaelekea miaka 20 sasa timu hiyo haijapata ushindi wowote, kwani wamepoteza zaidi ya michezo 134.

San Marino ipo nafasi ya mwisho [210] kwenye orodha ya ubora wa timu inayotolewa na shirikisho la soka Duniani FIFA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live