Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samuel Etoo amshambulia Mwandishi (+Video)

Video Archive
Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon, Samuel Eto'o amemshambulia 'mwandishi wa habari' nje ya Uwanja wa 974 nchini Qatar.

Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon, Samuel Eto'o amemshambulia 'mwandishi wa habari' nje ya Uwanja wa 974 nchini Qatar. Inasemekana kuwa 'mwandishi' huyo alimtuhumu Eto'o kuwa alimlipa rushwa mwamuzi wa mchezo kati ya Cameroon na Brazil, mchezo ambao Cameroon walishinda goli 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live