Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta anukia Bundesliga

SamattaGScover Mbwana Samatta

Sat, 1 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Werder Bremen inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu ‘Bundesliga’ imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Fernabahce na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta ambaye kwa sasa yupo KRC Genk kwa mkopo ili kuziba pengo la mshambuliaji wao Niclas Fullkrug ambaye anahusishwa kutimkia Torino katika. majira ya joto.

Klabu ya Werder Bremen inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu ‘Bundesliga’ imeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Fernabahce na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta ambaye kwa sasa yupo KRC Genk kwa mkopo ili kuziba pengo la mshambuliaji wao Niclas Fullkrug ambaye anahusishwa kutimkia Torino katika. majira ya joto. Pia Samatta anaripotiwa kuwindwa na klabu ya Napoli ili kuziba Pengo la Victor Osimhen ambaye anahusishwa na klabu kadhaa za Ligi Kuu England ikiwemo Chelsea, Man Utd na Arsenal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live