Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta akatemwa Stars, anakiwasha Cameroon

Samatta Cameroon Samatta akatemwa Stars, anakiwasha Cameroon

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania,Mbwana Samatta hapo jana alishiriki mechi ya hisani iliyoandaliwa na Troost Ekong Foundation chini ya beki na Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria, Troost Ekong

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania,Mbwana Samatta hapo jana alishiriki mechi ya hisani iliyoandaliwa na Troost Ekong Foundation chini ya beki na Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria, Troost Ekong Kwenye mechi hiyo pia mastaa kama Joseph Yobo na Vincent Enyeama walishiriki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live