Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta: Tunaweza kushinda leo dhidi ya Congo

Mbwana Samatta 780x470 Samatta: Tunaweza kushinda leo dhidi ya Congo

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa timu ya Taifa stars Mbwana Samatta amesema wachezaji wanaweza kupata ushindi mchezo dhidi ya Congo.

Nahodha wa timu ya Taifa stars Mbwana Samatta amesema wachezaji wanaweza kupata ushindi mchezo dhidi ya Congo. Samatta amesema mchezo uliopita dhidi ya Zambia waliamini watapata matokeo ya ushindi lakini waliambulia sare hivyo mechi dhidi ya Congo itakuwa kuamua hatima ya timu yao hivyo watapambana kupata ushindi ili waweze kufuzu hatua ya 16 bora kwenye mchezo huo wa michuano ya Afcon utaochezwa Januari 24, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live