Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta: Tuliamini tunashinda

Samatta X Kocha Samatta: Tuliamini tunashinda

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars ) Mbwana Ally Samatta akizungumza mara baada ya mchezo wa Kundi F wa AFCOn kumalizika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Zambia.

"Matokeo ndiyo kama hivyo, kuna wakati ulifika tukawa tunaamini kama tutapata ushindi lakini mechi haikuwa imeisha. Mechi imeisha na sare ya 1-1 kwa hiyo inabidi tuchukue.

"Hatuwezi kubadilisha chochote mechi imeshaisha, tuna mchezo mmoja mkononi inabidi tupambane kupata ushindi ili tuone kama tunaweza kusonga mbele," amesema Samatta.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live