Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta: Kwa Mkapa hatoki mtu

Samatta Sdk.jpeg Mbwana Samatta

Sun, 26 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta baada ya kurejea nchini na wachezaji wenzake wakitokea Misri walikoifunga Uganda 1-0 aliongea na waandishi wa habari na kubwa aliwaambia nini wenzake baada ya ushindi.

“Niliwapongeza kwa ushindi lakini niliwataka wasahau mara moja iwezekanavyo kwa sababu game ya marudiano ni baada ya siku tatu, baada ya kutoka pale niliwaomba wasahau moja kwa moja,” amesema Samatta.

Tanzania akishinda mchezo wa Jumanne dhidi ya Uganda tena na akapata sare mchezo wake unaofuatia kama ikiwa Algeria atafanikiwa pia kumfunga Niger katika mchezo wa marudiano Taifa Stars watakuwa na alama 8 ambazo zitawapeleka fainali ya AFCON kwa mara ya tatu katika historia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live