Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah ndie mchezaji mbinafsi zaidi kuwahi kutokea Duniani

Mohamed Salah.jpeg Winga wa Liverpool, Mohamed Salah

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa klabu ya Liverpool Graeme Souness amemtaja nyota wa sasa wa klabu hiyo Mohamed Salah kama mchezaji mbinafsi kuwahi kutokea.

"Nafikiri Salah ndiye mchezaji mbinafsi zaidi kuwahi kumshuhudia".

Graeme Souness

Graeme ameyasema hayo kuelekea mchezo mgumu wa klabu hiyo dhidi ya Tottenham Hotspurs unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii saa kumi na mbili [18:30] jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live