Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah kashasahau Maumivu ya AFCON, aonekana mazoezini Liverpool (+Video)

Salah Liv (600 X 1012) Mohammed Salah akiwa mazoezini na Liverpool

Tue, 8 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maisha lazima yaendelee!. Ndio baada ya usiku wa Jumapili kupoteza mbele ya Senegal katika fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON).

Mshambuliaji wa Liverpool, Mohammed Salah tayari kashatua katika viunga vya Merseyside tayari kabisa kwa mchezo dhidi ya Leicester.

Mapema leo Salah ameoneka katika viwanja vya mazoezi AXA training Centre akifanya mazoezi na timu huku Kocha wa Liverpool, Mjeruman Jurgen Klopp akisema atamjumuisha katika mchezo dhidi ya Leicester siku ya Alhamis.

Tazama hapa Chini umuone akiingia uwanja wa mazoezi.

View this post on Instagram

A post shared by Liverpool Football Club (@liverpoolfc)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live