Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah azinyemelea rekodi za Shearer, Henry EPL

Mo Salah Liver Mohammed Salah

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mohamed Salah amefunga au kutoa asisti kwenye mechi zake 13 za mwisho za Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Anfield.

Ni Alan Shearer pekee (alifikisha mechi 18) na Thierry Henry (mechi 17) kwenye mechi zao mfululizo za Ligi hiyo.

Salah alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Everton.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live