Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah azidi kuacha alama Liverpool, aweka rekodi hii

Salah Record Livermm Salah azidi kuacha alama Liverpool, aweka rekodi hii

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Liverpool, Mohamed Salah ndiye mchezaji wa kwanza katika historia ya klabu ya Liverpool kufunga mabao 20 na kuendekea katika mashindano yote kwenye misimu saba mfululizo.

Takwimu ya upachikaji mabao ya Salah akiwa Liverpool ni kama ifuatavyo;

17/18: Mabao 44

18/19: Mabao 27

19/20: Mabao 23

20/21: Mabao 31

21/22: Mabao 31

22/23: Mabao 30

23/24 Mabao 2o mpaka sasa huku msimu ukiwa bado unaendelea

Chanzo: www.tanzaniaweb.live