Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah aweka rekodi Michuano ya AFCON

Salah AFCON Salah aweka rekodi AFCON

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri Mohammed Salah amekuwa mchezaji wa kwanza wa timu yao ya Taifa kufunga goli kwenye kila msimu wa mashindano ya AFCON kwa misimu minne mfululizo tangu alipoanza kufunga msimu wa 2017.

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri Mohammed Salah amekuwa mchezaji wa kwanza wa timu yao ya Taifa kufunga goli kwenye kila msimu wa mashindano ya AFCON kwa misimu minne mfululizo tangu alipoanza kufunga msimu wa 2017. Salah amefunga katika Michuano minne aliyocheza ambayo ni 2017, 2019, 2021 na jana amefunga bao katika mchezo wao wa kwanza 2023

Chanzo: www.tanzaniaweb.live