Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah awafunika wakongwe Liverpool

Salah Barce Vs Everton Salah awafunika wakongwe Liverpool

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mohamed Salah amehusika kwenye magoli 29 katika michezo 24 iliyopita ya Ligi Kuu England aliyocheza akiwa na Liverpool.

Michezo 24

Mabao 18

Assist 11

Magoli aliyofunga dhidi ya Everton linamfanya kufikisha Magoli 105 aliyofunga katika uwanja wa Anfield na kuwazidi Magwiji wa Klabu hiyo Steven Gerrard na Kenny Dalglish waliofunga 104.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live