Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah Mchezaji Bora wa Mwezi EPL, aweka rekodi hii..!

Mo Salah Premier League Potm Award 09112023 Winga wa Liverpool, Mohammed Salah

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Liverpool Mohammed Salah amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezo Oktoba Ligi Kuu ya England.

Salah ndani ya mwezi Oktoba akiwa na Liverpool, amecheza mechi 3 na kufunga mabao matano (5).

Hii ni Tuzo ya Tano katika Maisha yake ya soka ikimfanya kuwa sambamba na Wayne Rooney na Robin Van Persie.

Kwa sasa Salah anakuwa ndio mchezaji mwenye Tuzo nyingi za mchezaji Bora wa mwezi kwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu.

Wanaomzidi wote wameshastaafu ama kuondoka England ambao ni Aguero, Harry Kane wenye Tuzo saba (7), Steven Gerrard na Cristiano Ronaldo Tuzo Sita (6).

Unamuona Salah anaweza kuwapiku vinara wa Tuzo hiyo? Tupe mtazamo wako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live