Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Salah, Allison Becker warudi kikosini Liverpool

Salah Return AXA Winga wa Liverpool, Mohamed Salah

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa Liverpool wa Jumamosi dhidi ya Brentford kwenye Ligi ya Premier League Mshambuliaji wa Liverpool FC Mohamed Salah amerudi na kuanza mazoezi na kikosi cha kwanza.

Kuelekea mchezo wa Liverpool wa Jumamosi dhidi ya Brentford kwenye Ligi ya Premier League Mshambuliaji wa Liverpool FC Mohamed Salah amerudi na kuanza mazoezi na kikosi cha kwanza. Taarifa njema ni kwamba Mohamed Salah, Allison Becker na Connor Bradley wote wamerudi kikosini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live