Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakho ndani ya Kikosi cha Senegal

SAKHO.png Pape Ousmane Sakho

Fri, 17 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye Timu ya Taifa ya Senegal kwenda kujumuika na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Msumbiji.

Sakho ataungana na nyota kadhaa wa Senegal wanaokipiga katika Ligi mbali mbali Barani Ulaya.

Kocha wa Senegal Aliou Cisse aliwahi kumsifia Sakho baada ya kushinda tuzo ya goli bora la mwaka la CAF ambapo Kocha huyo pia alihudhuria.

Kikosi kamili hiki hapa;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live