Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakho azichapa na kocha wake

Mamadou Sakho Sakho azichapa na kocha wake

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa zamani wa Liverpool, Mamadou Sakho na Kocha mkuu wa klabu yake ya Montpelier, Michel Der Zakarian wamezichapa katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo ya Ligi kuu Ufaransa baada ya kuitwa “mtoto wa kulia lia.”

Inaelezwa wawili hao walipishana kauli uwanjani na kuendelea kubishana kwenye chumba cha kubadilishia nguo.

Sakho alipatwa na ghadhabu baada ya kuitwa 'cry-baby' hali iliyopelekea nyota huyo wa zamani wa PSG kumkwida kocha huyo na kumtupa chini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live