Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakho atua Morocco kufuata tuzo yake

Sakho Morocco Pape Ousamane Sakho

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Kikosi cha Simba SC, Pape Sakho tayari amefika nchini Morroco kuhudhuria Tuzo za CAF 2022 ambazo zitafanyika leo saa 4 usiku (EAT) jijini Rabat.

Sakho amefika hatua ya fainali kati ya watu watatu, ambacho ni kipengele cha goli bora la mwaka la CAF.

Goli lililoingia katika kinyang'anyiro hicho ni lile alilofunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya ASEC MIMOSAS hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Goli hilo la Sakho alilofunga dhidi ya ASEC MIMOSAS limewahi kushinda tuzo ya goli bora la wiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live