Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakho, Mane usipime Senegal

Pape Ousmane X Sakho Nyota wa Timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mane na Pape Ousmane Sakho

Fri, 24 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Simba Pape Ousmane Sakho anazidi kujisafishia jina tangu kuitwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal.

Sakho tangu aitwe katika kikosi hicho amekuwa burudani kwa nyota wenzake wa Kikosi hicho ambao wengi wao wanacheza Ligi za Bara la Ulaya.

Tayari Sakho ameshatokea katika ukurasa wa Sadio Mane na ukurasa wa Timu ya Taifa ya Senegal na huenda ikawa sababu ya kutazamwa kwa karibu na Mawakala wakubwa wa Soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live