Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakata la Mayele na Yanga lafikia pabaya, aahidi kuanika kila kitu hadharani

Mayele Insta Live Sakata la Mayele na Yanga lafikia pabaya, aahidi kuanika kila kitu hadharani

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuibua sintofahamu usiku wa kuamkia leo Fiston alipoweka ujumbe kwenye ukurasa wake na kuumizwa na mambo ambayo hakuyaweka wazi

Baada ya kuibua sintofahamu usiku wa kuamkia leo Fiston alipoweka ujumbe kwenye ukurasa wake na kuumizwa na mambo ambayo hakuyaweka wazi Fiston Mayele ameonesha kuwa na mengi ya kuzungumza na kupitia insta story yake amesema baadae ataingia LIVE na kuongea kila kitu akisisitiza kuwa haogopi mtu bali anamuogopa Mungu tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: