Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakata la Lawi! Simba, Coastal waitwa TFF

Lameck Lawi Eliass Lameck Elias Lawi

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa habari wa Coastal Union, Abbas El Sabri amesema, klabu hiyo imepokea wito wa kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya kusikiliza shauri la mchezaji wao Lameck Lawi ambalo litasikilizwa leo Julai 16, 2024.

Coastal na Simba zimeingia kwenye mgogoro wa kumgombania beki Lameck Lawi Simba ikimtangaza kama mchezaji wao na Coastal ikisema mchezaji huyo hajauzwa bado ni mali ya Coastal.

Aidha Sabri amesema wako tayari kupambania haki Yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live