Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sakata la Fei Toto na Yanga lapangiwa tarehe

Fei Toto Fei Toto

Sat, 25 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marejeo ya Kesi baina ya Feisal Salum na klabu ya Yanga yatafanyika Tarehe 2/03/2023 badala ya tarehe 27/02/2023 Kama ambavyo zilielezwa pande zote mbili,Sababu ikiwa ni kutotimia kwa akidi ya Wajumbe wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF,

Awali kamati hiyo ilikuwa ikutane tarehe 15/02/2023 Kabla ya Mabadiliko hayo ya tarehe kufanyika mara mbili

Kwa Mujibu wa @oscarnickson20 ni kuwa Yanga ilimuandikia Barua Feitoto ya kumtaka kurudi Mazoezini kabla ya Januari 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live