Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saka azua atoweka kimya kimya England

Bukayo Saka England.jpeg Bukayo Saka

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka taarifa zinadai ameondoka katika Kambi ya timu ya taifa ya Uingereza bila ya Taarifa yoyote ya kitabibu.

Winga wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka taarifa zinadai ameondoka katika Kambi ya timu ya taifa ya Uingereza bila ya Taarifa yoyote ya kitabibu. Bado haijulikani ameondoka akiwa anaumwa, matatizo ya kifamilia ama laah, huku pande zote mbili zikiwa bado hazijatoa taarifa rasmi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live