Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saka asaini miaka mitatu Arsenal

Bukayo Saka Neare Saka asaini miaka mitatu Arsenal

Tue, 23 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Klabu ya Arsenal, Bukayo Saka amesaini Mkataba wa Miaka mitatu utakaomfanya kusalia Klabuni hapo Mpaka June 2027.

Mkataba wa awali wa Saka ulikuwa unamalizika June 2024.

Saka amekuwa na msimu bora mwaka huu ambapo walikaribia kutwaa taji la EPL kabla ya kunyakuliwa na Man City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live