Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sajili mpya zilivyolipa Yanga

Pacome X Nzengeli .png Sajili mpya zilivyolipa Yanga

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika usajili wa timu 16 za Ligi Kuu msimu huu ni timu moja tu ambayo ni Yanga ambao usajili wake kwa kiasi kubwa umelipa ama tunasema umefanikiwa.

Licha ya kuwa usajili ni kamari ila kwa upande wa Yanga karata zao wamezichanga vizuri hadi sasa wakati ambao wamecheza mechi 17 za Ligi Kuu.

Max Nzengeli,Pacome Zouzou na Kouassi Attohoula Yao huu ndio usajili ambao kwa kiasi kikubwa umefanikiwa kulingana na takwimu walizonazo hadi sasa.

Pacome Zouzoua

Goli 6 na Assist 3

Max Nzengeli

Goli 8 na Assist 2

Kouassi Attohoula Yao

Goli 1 na Assist 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live